MAFUNZO YA MUDA MFUPI (SHORT COURSE) YA UFUGAJI,UTOTOLESHAJI NA UTENGENEZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLESHEA VIFARANGA

Tunapenda kuwajulisha wadau wa kilimo, mifugo na wajasiriamali kuwa tunatoa mafunzo ya muda mfupi ya namna ya ufugaji bora wa kuku na utotoleshaji vifaranga. Mafunzo haya yanalenga kuwainua wakulima na wafugaji wadogo wadogo wanatuzunguka kunufaika na uwepo wa taasisi ya TRACDI.

Pia tunafundisha namna ya kuunda na kutengeneza mashine ya kutotoleshea vifaranga kuanzia mwanzo kwa gharama nafuu.

Kwa mawasiliano zaidi tafadhali fika ofisini au piga simu 0769479835.

SHORT COURSE APPLICATION FORM

Wote mnakaribishwa sana