Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii na Kilimo (TRACDI) anapenda kuwatangazia watu wote kuwa tayari wameanza kupokea maombi ya kujiunga na masomo  kwa muhula wa mwezi Tatu kwa mwaka wa masomo  2020/2021 kuanzia tarehe 25 December, 2019 katika kozi zifuatazo

I.Kilimo -Cheti na Diploma

II.Maendeleo ya Jamii-Cheti cha Diploma

III.Kilimo na Mifugo-Diploma upgrading

Fomu za maombi ya kujiunga na masomo zinapatikana chuoni na kwenye tovuti ya chuo. Chuo kina mazingira mazuri na rafiki ya kusomea na miundombinu ya kutosha. Huduma ya Hosteli ni BURE kwa wanafunzi wote.

Pia maombi ya kujiunga yanaweza kufanyika kupitia mfumo wa mtandao uliopo kwenye tovuti ya chuo kwa kubofya kitufe cha APPLY ONLINE

Kwa maelezo zaidi tafadhali usisite kutupigia kupitia namba zifuatazo:- , 0769479835 na 0758753063

KARIBU SANA

December 26th, 2019