Ofisi ya mkuu wa chuo TRACDI inapenda kuwataarifu wanafunzi wote kuwa masomo yataanza rasmi tarehe 03/06/2020.
Hivyo wanafunzi wote wanatakiwa kuwepo darasani kuanzia tarehe tajwa,pia tunapenda kuwakumbusha wanafunzi wote kuwa ratiba za masomo zitabadilika ili kuendana na ratiba iliyotolewa na Wizara ya Elimu pamoja na baraza la Elimu ya ufundi (NACTE)
Ahsanteni.

June 1st, 2020