OFISI YA MKUU WA CHUO TRACDI INAPENDA KUWATAARIFU WANAFUNZI WOTE WALIOHITIMU KIDATO CHA NNE MWAKA 2020 AMBAO WALIKUWA WAMEOMBA KUJIUNGA NA TRACDI KWA INTAKE YA MARCH 2021 KUWA KUTOKANA NA MABADILIKO YA KALENDA YA NACTE INAYOVITAKA  VYUO VYOTE KUWAATARIFU WANAFUNZI HAO KUJIUNGA NA VYUO KWA INTAKE YA SEPTEMBER AMBAYO UDAHILI WAKE UNAAANZA TAREHE 15/5/2021.
HIVYO UONGOZI WA CHUO UNAPENDA KUWAOMBA RADHI WAZAZI NA WANAFUNZI WALIOKUWA WAMEOMBA MARCH INTAKE NA KUWAOMBA KUSUBIRIA KURIPOTI CHUONI KWA INTAKE YA MWEZI SEPTEMBER.

March 28th, 2021